jacqueline wolper

Jacqueline Wolper Massawe (born 06 December 1988), is a Tanzanian actress, businesswoman and fashion stylist. Wolper began her film career in 2007 and being featured in more than 30 films since her debut in the industry.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    GE2025 Wolper: Mimi ni Kioo cha jamii, siwezi kukalia kimya uonevu wanaofanyiwa Wananchi

    Mwigizaji Jacqueline Wolper ameeleza kuwa ameumizwa sana na jambo lililotokea jana Septemba 15, 2025 kati ya wanachama wa Chadema na polisi katika viunga vya mahakamani, kwenye kesi ya Tundu Lissu baada ya kuonekana Polisi wakiwashambulia kwa virungi na kujeruhi. Amesema, "Mimi ni kioo cha...
  2. SSH2025_2030

    Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

    Ile NDOA iliyosimamisha internet. Imevunjika rasmi. NB: Je atarudia FANTASY ya Zamani kama Shishi? Source: Wolper mwenyewe BCC: kataa ndoa
Back
Top Bottom