israel vs gaza

This page is subject to the extended confirmed restriction related to the Arab-Israeli conflict.

The Gaza–Israel barrier (sometimes called the Iron Wall) is a border barrier located on the Israeli side of the Gaza–Israel border. Before the Israel–Hamas war, the Erez Crossing, in the north of the Gaza Strip, was the only crossing point for people and goods coming from Israel into the Gaza Strip. A second crossing point, the Kerem Shalom border crossing, is used exclusively for goods coming from Egypt as Israel did not allow goods to go directly from Egypt into Gaza through the Egypt–Gaza border, except for the Salah Al Din Gate, which opened in 2018.
A fence along the border was first constructed by Israel in 1971 as a security barrier, and has been rebuilt and upgraded since. It was constructed by Israel to control the movement of people as well as goods between the Gaza Strip and Israel, which it could not achieve by normal border crossings.
There is also one crossing along the Egypt–Gaza border, the Rafah Crossing, which is limited to the crossing of people; as per Israel's demand, any cargo or goods that are to enter Gaza must go through Israel, usually through the Kerem Shalom border crossing.

View More On Wikipedia.org
  1. Echolima1

    Majeshi ya Israel yanaendelea mbele kuiteka Gaza!

    IDF inasonga mbele hadi katika Jiji la Gaza kwa kubomoa vizuizi vya makazi katika mtaa wa Al-Zaytoun ambapo Magaidi wanashambulia wanajeshi wa Israel!!
  2. G

    Israel ukitupa jiwe pembeni ya nyumba yake yeye anakubomolea nyumba yako kabisa. Sasa ni zamu ya Yemen na Iran

    Waarabu waliokutana na kisasi Cha Israel wamenyamaza kimya hawatamani hata kuwasikia Gaza kupitia magaidi wa hamas 7october walichokoza kidogo tu Israel Leo miji yao ni magofu wanagombea CHAKULA Cha misaada Misri ilipigwa imetulia kimya hata kuwafungulia ndugu zao mlango wa Rafah wakimbilie...
  3. Echolima1

    Graphic Video: Hamas wakifanya Unyama kwa watu wao huko Gaza!!

    Vituo kadhaa vya habari vya Gaza vinaitukuza video hii kuanzia leo. Inaonyesha magaidi huko Gaza wakiwanyonga watu wao wenyewe, bila kesi, hadharani. Huu ni utamaduni wa aina gani? Ni nani angefanya jambo kama hilo kwa watu wao wenyewe na ni nani angesifia jambo kama hilo likifanywa kwa watu...
  4. Echolima1

    Jeshi la Israel kupanua mashambulizi Gaza, maelfu ya askari wa akiba waitwa

    IDF imewaita makumi kwa maelfu ya askari wa akiba kabla ya upanuzi mkubwa wa mashambulizi yake Gaza. Hatua hiyo ya kijeshi iliyoidhinishwa na Waziri Mkuu Netanyahu, inakuja ikiwa ni sehemu ya mpango mkubwa zaidi wa kuzidisha operesheni huko Gaza kwa lengo la kuishinda Hamas na kuachiliwa huru...
  5. I

    Ikiwa Israel ataendelea kufanya mashambulizi Gaza bila ukomo, ni kipi kitatokea

    Habari za wakati huu ndugu na jamaa popote mnakopatikana. Leo baada ya kusoma habari ya vifo vya watu takribani 46 huko Gaza baada ya shambulizi la Israel kuna maswali nimejiuliza hapa ambayo ningependa kupata majibu kwa mwenye kujua. Toka mwaka 2023 kumekuwa na mapigano kati ya jeshi la...
  6. Mi mi

    Kinachoendelea Gaza ni maajabu ya dunia

    Moja ya maajabu ya dunia nayo endelea kushuhudia na dunia inayo endelea kushuhudia ni jeshi la Israel(IDF) ni kuendelea kupigana na Hamas mpaka leo toka 2023 mpaka sasa 2025. Pamoja na hali ya kutisha ya uharibifu inayo endelea Gaza bado jeshi la Israel halijatimiza lengo hata moja lililo...
  7. Echolima1

    Israel yaupinga mpango wa waarabu kuhusu ujenzi wa Gaza

    Israel inakataa mpango wa nchi za Kiarabu kukabiliana na Gaza. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje: "Taarifa iliyotolewa kwenye kikao cha dharura cha mkutano wa kilele wa ajabu wa Waarabu haiangazii uhalisia wa hali ilivyo baada ya Oktoba 7, 2003, na inabakia kukita mizizi katika mitazamo ya...
Back
Top Bottom