iran na israel

The Iran–Israel War is an ongoing armed conflict between Iran and Israel. The conflict is considered an escalation from previous attacks by Iran and Israel. Iran and Israel have previously traded strikes in April 2024 and in October 2024.
Israel, in a surprise attack, targeted military and nuclear infrastructure and personnel, killing the military leadership of the Islamic Revolutionary Guards as well as leading nuclear scientists. Israel destroyed several airbases and damaged nuclear facilities. Iran retaliated by launching ballistic missiles against targets in Israeli towns and cities in response. Iran also warned that it would target U.S., British, and French military bases and ships in the region if those countries assisted Israel.
The war began during a time of crisis in the Middle East that ensued following the October 7 attacks, including the Gaza war, Israel–Hezbollah conflict and Red Sea crisis. In the ensuing conflict, Israel targeted the military leadership of Hezbollah and Hamas.

View More On Wikipedia.org
  1. Ni Ujinga Kusema Haituhusu. Vita ya Iran na Israel Inaweza Kuirudisha Tanzania Enzi za Ujima

    JE, VITA YA TATU YA DUNIA INAWEZEKANA? Tafakari ya Kiuhalisia Kutoka Hiroshima hadi Enzi za Mtandao na Droni Ndugu msomaji, Usikie sauti hii kama ya mwandishi wa barua kutoka siku za mwisho wa dunia. Sio barua ya matumaini, bali ya ukweli usiopendeza. Dunia yetu iko kwenye kingo za shimo...
  2. Iran na Israel: Kutoka Mabest hadi Maadui wa Kuuana

    Iran na Israel: Kutoka Mabeste Hadi Maadui Basi hebu nikusimulie hii stori kali – kama vile tupo vijiweni tunagawana kahawa ya jioni. Zamani hizi, kabla mambo hayajaharibika, Iran na Israel walikuwa kama mabest wa damu. Walishirikiana kwenye biashara, walipigiana tafu kwenye siasa, na walikuwa...
  3. Iran na israel watabadilishana majasusi hivi karibuni

    Iran iliwakamata majasusi watano wa Israel ikiwahusisha na kudukua mfumo wa anga la tehran na kuwatumia wenzao wa israel na siku moja baadae Iran ikapoteza uthibiti wa anga na kupelekea kushambuliwa vibaya Sasa kumbe israel ilikuwa inawajua majasusi ya tehran baada ya kuona ile habari na wao...
  4. Vita ya Israel -Iran inakata mirija pekee ya kupeleka oxygen Ulaya.

    Ulaya matumbo joto, matumbo yanawakata chini ya mkanda kutokana na vita hii mbaya sawa kudunia kwenye upatikanaji wa nishati, hakini huenda ni mbaya sana kwa Ulaya Magharibi kutokana na utegemezi wake pekee wa nishati kutoka uarabuni baada ya kuiwekea vikwazo Urusi. Wanategemea gesi ya Qatar...
  5. Iran ikivamiwa, je Urusi itakaa kimya? Na je, Urusi ina uwezo wa kuzuia Iran isivamiwe?

    Kwa macho ya kawaida, Iran ni nchi ya Kiislamu yenye historia ndefu, minong’ono ya nyuklia, maandamano ya hijab, na wasomi wa miji mitakatifu. Lakini kwa macho ya kisiasa, kiuchumi na kijeshi—hasa macho ya Urusi—Iran ni zaidi ya hayo. Ni nguzo ya kusimama kwa ulimwengu wa pili, ule...
  6. U

    Trump amesema hataki kusitisha vita ya Iran na Israel. Asema Iran inapaswa kuachana kabisa na silaha za nyuklia

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema hataki kusitisha mapigano na Iran, bali anataka "mwisho halisi" wa suala la nyuklia la Iran, akimaanisha kwamba Iran inapaswa kuachana kabisa na silaha za nyuklia. Trump amesema kuwa mwisho huo halisi unamaanisha Iran kuachana kabisa na mpango wake wa...
  7. Iran yaanza kujibu mashambulizi yarusha mamia ya drones kuelekekea Israel

    Wanaukumbi JUST IN: Iranian suicide drones have entered Jordanian airspace and are heading toward Israel. UK, US and Israel, with support from Arab nations are working to intercept them. ================ Ndege zisizo na rubani za Iran za kujitoa mhanga zimeingia kwenye anga ya Jordan na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…