iran kulipa kisasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    Watu 3 wafariki na wengine 2 walazwa hospitalini baada ya moto mkubwa kuwaka katika kituo cha kuhifadhi methanoli huko nchini Iran

    Takriban watu watatu wamefariki na wengine wawili kulazwa hospitalini baada ya mlipuko na moto kutokea kwenye kiwanda cha kemikali nchini Iran Ajali hiyo ilitokea majira ya saa 5 asubuhi kwa saa za Iran (07:30 GMT) katika sehemu ya kuhifadhi methanoli kwenye Kiwanda cha Kaveh Petrochemical...
  2. U

    Jeshi la Iran kujenga kibabe ukuta mkubwa wenye urefu kilometa 5,800 kuzunguka nchi nzima kwa lengo la kuimalisha ulinzi na usalama wake

    Wadau hamjamboni nyote Iran imeamua kujipanga mapema kiusalama kwa kujenga ukuta. Imepakana na nchi 7 za Afghanistan, Pakistan, Uturuki, Armenia, Azerbaijan and Turkmenistan na Iraq Ukweli Marekani na Israel kazi wanayo Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Iran plans to wall up all land...
  3. R

    Marubani wa kike walifanya shambulio la aibu na uharibifu mkubwa kwenye jamhuri ya kiislam ya Iran, kwanini Iran inasita kulipa kisasi?

    Mnamo Oktoba 1, 2024, Iran ililenga Israel kwa makombora 200, Ni mashambulizi makubwa lakini athari zilikuwa kidogo, Mabomu mengi yalikosa target yalitua nje ya mji, Mtu mmoja aliuawa ambae ni Mpalestina baada ya bomu kukosa target kwa kutua Palestina. Israel ikajibu October 26, hawakurusha...
Back
Top Bottom