iramba mashariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Jesca Kishoa achukua fomu ya ubunge jimbo la Iramba Mashariki

    Mbunge wa Viti Maalum Jesca Kishoa, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa Jimbo la Iramba Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Kishoa amechukua fomu hiyo leo Juni 30, 2025, katika Ofisi za CCM Wilaya ya Mkalama, mkoani Singida. Hatua hiyo ya Kishoa inakuja ikiwa ni mwezi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jesca Kishoa atangaza kugombea ubunge Iramba Mashariki

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Jesca Kishoa, ametangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Iramba Mashariki katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, baada ya kupokea maombi ya wananchi kumtaka awanie nafasi hiyo. Akizungumza Mei 24, 2025, katika mkutano wa hadhara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…