Baadhi ya Wabunge na Wajumbe wa Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU, wameeleza kufurahishwa na mapokezi wakati wakiingia nchini kushiriki mkutano huo wa 153 unaotarajiwa kuanza Oktoba 5-9, 2026 pamoja kuipongeza Serikali na Bunge la Tanzania kwa maandalizi makubwa ya Mkutano huo ambayo mpaka...