Baadhi ya watumiaji wanaripoti skrini za ndani kuharibika, huku mistari ya wima na upande mmoja wa kulia kutokana na hitilafu inayohisiwa kwenye hinge.
Apple imeanza kuwasaidia baadhi ya wateja kwa kuwabadilishia simu zilizoathirika, lakini hadi sasa haijatangaza rasmi mpango maalumu wa...