๐ Apple alisema โiOS 26 ni salama kabisaโฆโ
๐ haitaweza kuwa na jailbreak ๐
๐Jailbreak community: โHold my iPhone!โ ๐๐ฅ
Hatimaye developer maarufu ulimwenguni Lars Froder anayejulikana kama opa334 ametoa Mfumo ambao unaweza kuondoa vizuizi kwa watumiaji wa iphone.
Dopamine 3.0 imeleta jailbreak...