Kama Unachoka kubadilisha simu kila baada ya muda mfupi? 😅 Basi ngoja kwanza nikuambie kuhusu hii simu! 👀🔥
Infinix imekuja na ujumbe unaovutia kupitia HOT 70! 📱🔥 Wanasema: “Tough Outside, Beast Inside!” 🤖💪 Yaani muonekano wenye mvuto, nguvu ya Ajabu na ahadi ya masasisho ya programu kwa muda...