india na pakistan

Pakistanis in India primarily consist of Pakistani Hindus and Sikhs who seek permanent settlement in the Republic of India via Indian citizenship. Others include Muslim Pakistani nationals who desire Indian citizenship or seek to work in the Indian Republic as expatriates. In December 2015, Anglo–Pakistani singer Adnan Sami became a naturalized Indian citizen after living in India on an extended visitor visa since 2001. The state of Maharashtra has witnessed a six-fold increase in applications for Indian citizenship from Pakistani nationals following the relaxation and simplification of immigration rules in December 2017. The primary purpose of these applications was a result of cross-border marriages, which have resulted in spouses waiting for citizenship for close to a decade.
Additionally, there are also an estimated 761 Pakistani nationals imprisoned within Indian jails, most of them serving their terms on charges of espionage and terror-related crimes.
There are an extensive number of Pakistanis illegally overstaying in India. In 2017, 250 illegal Pakistani immigrants were deported from India.
According to a report in the Pakistani newspaper DAWN, over 5,000 Pakistani Hindus migrate to India annually as refugees.

View More On Wikipedia.org
  1. hamis77

    Vita vya muda mfupi baina ya ndugu wawili India na Pakistan

    Vita vya muda mfupi baina ya ndugu wawili India na Pakistan Vilivyomalizwa na Dogfight (vita vya ndege kwa ndege) Niliandika post hii muda ila sikuwa nimeipost kwasababu kadha wa kadha). Fuatana nami upate maarifa kwa kifupi. Pakistan na India wote ni Wahindi kwa asili. Waligawanyika kwa...
  2. Webabu

    Vita vya India na Pakistan ghafla vimesimamishwa

    Vita kati ya wababe wawili wa nyuklia vimeisha haraka.Hiyo ni kwa mujibu wa tangazo la raisi Trump wa Marekani. Kwa upande mwenine juhudi kubwa zinaendelea mjini Kyiv ili kusimamisha vita kati ya Ukraine na Urusi. Vita ambavyo vimekuwa vigumu kusimamishwa ni vile kati ya Israel na wapalestina...
  3. J

    Ulipata Kujua kuwa Vita ya India na Pakistan imeongelewa Kwenye Quran/Sunna za Mtume (SAW)?

    Hadithi Sunan an-Nasai 3175 inasema kuna Makundi mawili ya Umma wa Mohammad ambayo Allah atawaokoa kutoka moto wa Jehanam. Kundi moja ni Waislamu watakaoivamia India. Aidha, Kiongozi wa Juu wa Pakistan amekiri wazi wazi kuwa Jeshi lao la Akiba wanalolitegemea ni Vijana wao wanaopata mafunzo ya...
  4. Mi mi

    Wachina waja na ngoma kuhusu ugomvi unao endelea kati ya India na Pakistan

    Ila hawa wachina ni vituko kweli kweli
  5. MK254

    LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro kati ya India na Pakistan. Chanzo, Madhara na nini hatma yake?

    Juzi tulishuhudia India ikitembeza kichapo ndani ya Pakistan ambapo Pakistan waliapa kulipiza, Sasa leo wametuma makombora kuelekea India. Chanzo cha hii yote ni kwamba Pakistan wamekua wakilea magaidi wanaoitwa Lashkar-e-Taiba. Hao magaidi husababisha mashambulizi ndani ya India wakiwa na Nia...
  6. Dalton elijah

    Special Thread: Yanayojiri kwenye mgogoro kati ya India na Pakistan, nini chanzo na hatma ya mgogoro

    Nchi ya Pakistan imedai kuwa imedungua ndege 12 zisizo na rubani za India usiku kucha na kusema mashambulizi ya ndege zisizo na rubani yamesababisha vifo vya raia mmoja na wanajeshi wanne kujeruhiwa. Msemaji wa jeshi la Pakistan Jenerali Ahmed Sharif Chaudhry Akizungunza na vyombo vya Habari...
  7. Mhaya

    Chanzo cha vita ya India na Pakistan inayoendelea hivi leo katika eneo la Kashmir

    Mwezi wa huu wa Mei mwaka 2025, ulimwengu umetikiswa na mgogoro mpya kati ya mataifa mawili yenye historia ndefu ya mvutano – India na Pakistan. Tarehe 6 Mei, India ilitangaza operesheni kali iliyobeba jina "Operation Sindoor," ikilenga maeneo tisa ndani ya Pakistan na kipande cha eneo la...
  8. Mlaleo

    Vita imehamia Pakista, India yateketeza target 9 ndani ya ardhi ya Pakistan

    India imethibitisha kuzindua makombora kuelekea Pakistan Jumanne, kufuatia mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea Kashmir ambapo watu 26 waliuawa. Maafisa wa usalama wa Pakistan wamesema makombora hayo yamelenga maeneo ya Kashmir na jimbo la Punjab mashariki. Hakukuwa na ripoti za majeruhi au...
  9. Dalton elijah

    India Na Pakistan Zinaelekea Kwenye Vita ya Kikanda

    Taarifa iliyotolewa na maafisa Wa jeshi kutoka Pakistan na India wamerushiana risasi usiku kucha katika mstari wa udhibiti katika Kashmir inayozozana Umoja wa mataifa umewataka wapinzani hao wenye silaha za nyuklia kuonyesha "kujizuia kwa hali ya juu" baada ya mauaji ya Jumanne ya watalii wa...
  10. Echolima1

    Fukuto la vita kati ya India na Pakistan

    🪖 Nani Angeshinda: Pakistan dhidi ya India Katika vita vya kawaida, India ina faida kutokana na uchumi wake mkubwa, idadi ya watu, na zana za kijeshi-viwanda. Walakini, nchi zote mbili ni zenye nguvu za nyuklia, na vita ikitokea itakuwa na kiwango kikubwa huhatarisha kuongezeka kwa janga. Huu...
Back
Top Bottom