imeniuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Roho imeniuma Sana, unahangaika kuhonga Mwanamke wewe unatumia Samsung yeye anatumia iPhone 16 promax

    Imeniuma sana. Huyu bi dada kila siku kunipiga vizinga, kuomba omba unajitia ana njaa Kali Sana, hata Kodi namlipia Mimi, kila siku hata nauli ya kwenda Chuo ananiomba, najibana kadiri niwezavyo ili nimrudhishe.. Siku zote naona anatumia iPhone ila sijui anatumia toleo lipi. Leo ndio nagundua...
  2. JamiiForums Tanzania Nimetoka kumzika rafiki yangu aliyefariki akiwa 33 years. Aisee, imeniuma sana

    Wakuu nimetoka kumzika rafiki yangu 33 years Mwanzo sikuwa najua Kama mtu wa miaka 33 anaweza kufa Tena kwa sukari. Aisee huu msiba umenipa fundisho kubwa Naomba Kama una nafasi ya kumrudia Mungu mrudie fanya ibada za kweli. Kama unaweza kusaidia watoto kwenye vituo vya watoto yatima...
  3. JamiiForums Tanzania Kumbe hadi kwenye sekta hii wakenya wametuacha mbali? Imeniuma sana

    Baada ya kwenda home kusalimia kwenye moja ya mkoa wa kaskazini, nikasema nikatembee kwa siku 7 upande wa kenya, Nikaanzia taveta then nikaenda Voi,kimana then leitoktok. Nilichogundua wanawake wa kikenya wazuri sana, kuanzia ladha, muonekano,kuvaa na mengineyo. Kwanza hawapendi kujichubua...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Majambazi wamemuua rafiki yangu kikatili sana. Imeniuma mno

    Habari za usiku wakuu bila shaka, mupo salama. Leo imekuwa siku mbaya sana kwangu baada ya kupokea taarifa za kifo cha rafiki yangu, gERVASS maarufu kama Baraka. Alikuwa anaishi maeneo ya Malamba Mawili, sehemu inaitwa Bwawani. Ni mitaa ambayo niliwahi kuishi pia. Baraka alihamia huko tangu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania imeniuma kula kitoweo bila kaugali pembeni

    Halafu ni wale wa kienyeji
  6. JamiiForums Tanzania Sarafina 1987: The Soweto youth uprising scene. Sasa nimeona maana yake, ina uhalisia kuliko nilivyodhania kabla..!!

  7. JamiiForums Tanzania Kama mzazi imeniuma, kuna yeyote anamfahamu huyu mtoto?

    Wakuu tunaelekea wapi? Bila shaka hii ni dar es salaam. Mtoto ameshaanza kujifunza upuuzi akiwa katika umri huu?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hii imeniuma sana na itamuuma mtanzania yeyote

    Juzi bhna nilienda barbershop kushave. Nilipomaliza ile natoka nje nikaona land cruiser inakuja ikapak upande wangu wa kushoto. Wakatoka jamaa wawili makamu ya miaka 35-40, jamaa walikuwa wanapiga stor kwa furaha sana na wakajisahau wakawa wanaongea Kwa sauti kubwa kiasi kwamba niliweza...
  9. JamiiForums Tanzania Nimepewa lift nikiwa na mtoto wangu, roho imeniuma sana

    Wazima humu? Mimi huwa na utaratibu wa kutoka na mwanangu asubuhi kumpeleka shule kila siku na huwa natoka nae kuanzia saa moja huwa tunapanda bajaji au bodaboda, sasa leo tukiwa tunatembea kuona kama tutakutana na bajaji ili tupande ndo akapita jamaa na Rumion nyekundu akaniambia panda...
  10. JamiiForums Tanzania Siku hizi ukikutana na mtu ambae hukumchangia harusi yake basi utakuta hakuchangamkii kama zamani

    Siku hizi ukikutana na mtu ambae hukumchangia harusi yake basi utakuta hakuchangamkii kama zamani. Jamani sisi sio fake friends ni hali ngumu jamani mtusamehe bure
  11. JamiiForums Tanzania Huu mfumuko wa bei unatuumiza zaidi sisi majobless.

    Nimestaajabu leo nimeenda dukani kwa Kimario hapa Lumo ananambia embassy moja ni 300 wakati me najua ni 250 tu. Nilikua na buku nimekula miguu, utumbo na vichwa vya kuku nikabaki na 250, naenda dukani nipate embassy naambiwa ni 300, imeniuma sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…