ilani ya chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    CHADEMA; kwa hili mnastahili maua yenu

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ninapenda kuzungumzia kipengele kimoja kilichonivutia zaidi katika Ilani ya mwaka 2020-2025 ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); Sura ya 16, Kifungu namba 16.1 Kipengele b (Ukurasa wa 95) ambacho kinasema: "Katika kutimiza azma ya kujiendeleza...
  2. Mwande na Mndewa

    Kifo cha CHADEMA: Magufuli aliichukua Nguvu ya Umma na Sera ya Chadema na kutembea nayo

    Jambo moja ninalolilkumbuka ni Chadema kusema kuwa Hayati Rais John Pombe Magufuli alikuwa anaongoza kwa kuiga sera za Chadema, wakati Hayati Rais John Pombe Magufuli akiendelea kutekeleza sera zao. Chadema wakajitenga na matokeo ya utekelezaji wa sera walizoziita za Chadema, wanadamu kazi...
  3. Mindyou

    CHADEMA tunawapenda ila tunawaomba sana mbadilishe kipengele hiki kwenye ilani yenu itapofika 2025

    Wanabodi, Kabla ya kuendelea mbele ningependa kuwapongeza CHADEMA kwa kuandaa na kushiriki kwenye maandamano. Pamoja na CCM kutumia nguvu nyingi kuzuia lakini mlijitahidi sana kufikisha ujumbe wenu kwa serikali. Leo nilikuwa napitia ilani yenu ya 2020 kwa mara nyingine na nigewaomba pale...
  4. Mindyou

    PreGE2025 Kwanini vyama vya siasa kila siku ni katiba mpya na ununuzi wa ndege? Athari za mabadiliko ya nchi kwanini hamzipi vipaumbele?

    Wanabodi, Uchaguzi umekaribia. Tunajua CHADEMA watakuja na sera zao Katiba mpya meanwhile CCM watakuja na sera zao za jinsi walivyonunua madege, kujenga flyover na SGR. Lakini kwanini, vyama hivi havizungumzii kuhusu masuala ya utunzaji wa mazingira na mabadiliko ya tabia ya nchi hasa katika...
Back
Top Bottom