Rais wa Kenya, William Ruto, ameendelea kusisitiza nia yake ya kujenga kanisa la kisasa ndani ya Ikulu (State House), akipinga vikali kauli za baadhi ya watu wanaodai kuwa mradi huo utagharimu mabilioni ya fedha. Akizungumza katika ibada ya Jumapili ya leo, Ruto alisema haoni sababu ya watu...