Mimi ni mkazi wa Chalinze, Mtaa wa Nero, Darful. Tunaendelea kukabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji mara kwa mara. Wakati mwingine tunakaa hadi mwezi mzima bila kupata maji.
Hadi ninapoandika malalamiko haya, tumekaa takribani wiki mbili bila maji, bila kupewa taarifa yoyote kutoka Idara...