Watumishi wa Idara ya kilimo tulioajiriwa August 2024 Halmashauri mwaka huu hatujapata annual increament ikiwa ni haki yetu ya msingi, tunaomba utumishi watupe majibu
Mtu wa kubadilishana kituo cha kazi anahitajika, mimi nipo Dodoma Mpwapwa DC.
Kituo ni kizuri, mazingira mazuri, maji yapo, usafiri upo 24hrs. Wa kubadilishana nae awe mikoa ifuatayo;
1. Iringa
2. Mbeya
3. Morogoro