Hili nijambo la kushangaza lakini ndio ukweli , pamoja na high mortality rate ya Me lakini bado idadi inakaribiana sana , kwa nchi na nchi ukikuta Me wamezidi basi haizidi 2% na ukikuta Ke wamezidi hawazidi 1% hata hivyo Science inaonesha chance kubwa ya kuzaliwa mtoto wakiume kuliko wa kike...