ibrahim mzava

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KING MIDAS

    DOKEZO GE2025 Kashfa kubwa mchujo wa Ubunge Mwanga. Kama wewe sio Muislam hupiti. Sikiliza audio iliyovuja

    Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge...
Back
Top Bottom