Walichonifanyia eniembii kinatosha. Nilifungua account lao mwaka Jana November, nikawa naweka tu elfu mbili tatu kama saving, simalizi wiki, nanyofoa pesa zangu, mambo mengine yanaendelea
Mwezi Feb mwaka huu nikaweka 85k, cha ajabu leo nimejaribu kutoa 80k wakaleta ujumbe wa insufficient...