Mazingira, muundo, maudhui, mabaya, mapengo na mapendekezo kuhusu hotuba ya Rais Samia ya tarehe 25 Aprili 2025:
Mazingira ya hotuba
Hotuba ya Rais Samia imeandaliwa, na inapaswa kutathminiwa, katikati ya mazingira yafuatayo:
Msimu wa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na mwadiwani inakaribia...
Kwa bahati mbaya haikuwa hivyo. Wamesikitika sana
Mimi niliwaambia kuwa mtu mweusi hawezi kujiuzulu kirahisi hivyo
Hata Ndugai si kwamba alipenda , alilazimishwa.
Cheo cha Urais Tanzania hii ni kikubwa sana hakuna IGP, CDF au mtu yeyote anaweza kuthubutu kumshauri ajiuzulu.
Mimi sijasikiliza...