Toka mwaka huu uanze kumekuwa na mlipuko mkubwa wa homa ya nguruwe (ASF) kwa mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Pwani, Tanga na sasa Arusha na Kilimanjaro ugonjwa unaendelea kushika kasi. Kwa sasa nyama ya kitimoto inayouzwa kwenye mabucha Arusha na Moshi kwa kiasi kikubwa inatokana na nguruwe...