Tarehe 2 Juni 2025, nimeona barua inayojinasibu kuwa ni ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya kulifungia Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church @ Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Mbunge wa CCM, Askofu Josephat Gwajima.
Kisingizio?
Lakini kwa anayesoma hali kwa makini, hoja ya kweli ni moja tu...