hoja ya kafulila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chibike

    Naomba kujibu hoja ya Kafulila kuhusu rasilimali watu na rasilimali za nchi

    Wazo kuu hapa ni kwamba utajiri wa kweli wa matajiri haujatokana na kuwa na rasilimali asilia (kama mafuta, madini, au ardhi yenye rutuba) bali ubora wa rasilimali watu (human capital), yaani, ujuzi, maarifa, ubunifu, nidhamu, na uwezo wa kufanya kazi kwa pamoja wa wananchi wake. Naomba...
  2. I

    Kafulila: Huenda tuna kizazi bora zaidi kaburini kuliko hiki kilichopo leo

    Nimekutana na hii Clip ya Kafulila sijui ni ya lini na alikuwa katika tukio gani sifahamu ila nimevutiwa na hekima za hotuba yenyewe. Katika video hii Kafulila anasema hapa duniani tuna kizazi bora zaidi kilichopo kaburini kuliko hiki kinachoishi duniani leo. Ukisikiliza vizuri hiyo Clip...
  3. L

    David Kafulila alitetemesha Bunge na kupokelewa kifalme

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa David Kafulila Ameamsha hisia, kuwagusa waheshimiwa wabunge na kuwarejesha mbali sana kihisia. Chuma Kafulila kaliteka Bunge, kalitetemesha na kalitikisa kwelikweli. Hii ni baada ya kutambulishwa Bungeni kama Mkurugenzi wa PPP na Mheshimiwa Speaker Dkt Tulia...
Back
Top Bottom