Pili pili hoho, hasa hoho za njano ni moja ya matunda yenye Vitamin C nyingi zaidi. Ina vitamin C nyingi kuliko machungwa na malimao.
Vitamin C ni muhimu sana katika kujenga mwili na kujenga kinga ya mwili. Ukosefu wa vitamini C uliua sana mabaharia wa zamani baada ya kuwa wamekosa matunda na...