Hemed Suleiman Abdulla (born 5 April 1973 in Kiwani, Pemba) is a Tanzanian CCM politician and 2nd Vice President of Zanzibar from 2020. He was nominated by the President Hussein Mwinyi to become a member of Zanzibar House of Representatives.
Mgombea wa Uwakilishi Jimbo la Kiwani, Hemed Suleiman Abdulla, amesema wakati umefika kwa wananchi wa Kiwani kuchagua viongozi wanaoweza kuwatumikia na kuwaletea maendeleo jimboni humo.
Ameyasema hayo kwa nyakati tofauti alipozungumza na kuomba kura kwa wananchi wa vijiji vya Kendwa...
Mgombea Ubunge Jimbo la Kiwani kupitia Chama cha Mapinduzi, Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na wananchi katika Mkutano wa ufunguzi wa Kampeni za CCM ndani ya Jimbo la Kiwani uliofanyika katika Uwanja wa Kwareni Muwambe, Wilaya ya Mkoani Pemba, amewaomba wananchi kumpa kura ili aweze...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla;
"Uongozi haununuliwe, ukiona mtu ananza kuhangaika huko anapita kutembeza senti huyo hakusudii kuwatumikia watu. Hiyo sio aina ya Uongozi bora"
"Wanawake msiwe ngazi kuwapandisha...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla,
"Tafadhalini sana, tusitumike vibaya, sisi viongozi ukiingia kwenye Chama cha Mapinduzi (CCM) tunatakiwa kuwa waadilifu, ukiingia kwenye Chama cha Mapinduzi unakula kiapo"...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema
"Lazima tuambiane ukweli, sisi viongozi huku meza kuu na nyinyi viongozi huko, kwa sababu sote tunakwenda kwenye maamuzi. Tutende haki, tuwatendee haki watu, na ukitenda haki moyo wako utajisikia faraja sana," amesema Hemed...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, ametoa onyo kali kwa baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wenye tabia ya kuwachafua wenzao kisiasa, akisisitiza kuwa viongozi wa aina hiyo hawastahili kupewa nafasi...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla amesema kuwa Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais ipo tayari kutoa ushirikiano kwa Wizara ya Mambo ya Nje na Wizara nyengine za Muungano ili kuleta ufanisi mzuri wa kazi kwa pande zote mbili za Jamhuri ya Muungano wa...