Ameandika Twaha Mwaipaya kupitia mitandao yake ya kijamii
Wambieni watu wetu
Mimi inajulikana kwa Mungu na malaika sina ubaya na nchi yangu naipenda Sana !
Kosa langu hata sasa ni kukataa kuwa msaliti wa mageuzi ili sote katika nchi tuishi utawala wa sheria na kulinda rasilimali zetu , ...
Hakika hii ndio dawa yao!
Uonevu umezidi sana yani kweli kabisa mnamzuie mtu kwenda hadi kwenda kwenye msiba! This Is toomuch! Watanzania tumekuwa kama watumwa
===============
Watanzania na Wakenya waungana mpaka wa Sirari kuhakikisha John Heche anaelekea Kenya kutoa pole kufutia kifo cha...
Baada ya Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kutoa Taarifa kuwa Makamu Mwenyekiti wa wa chama hicho, John Wegese Heche amezuiliwa kusafiri Kwenda nchini Kenya kuhudhuria Mazishi ya Raila Amolo Odinga, amezuiliwa Mpaka wa Tanzania na kenya (Sirari) Wilaya ya Tarime, hii ni video...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.