Ameandika Twaha Mwaipaya kupitia mitandao yake ya kijamii
Wambieni watu wetu
Mimi inajulikana kwa Mungu na malaika sina ubaya na nchi yangu naipenda Sana !
Kosa langu hata sasa ni kukataa kuwa msaliti wa mageuzi ili sote katika nchi tuishi utawala wa sheria na kulinda rasilimali zetu , ...
Ila Jeshi letu la Polisi wanafanya mambo yao nje kabisa na maadali kabisa!
Mlimchukua mkasema mnampeleka Tarime, lakini mkapelekea sehemu nyingine na mkakaa kimya kama hamjui chochote. Kelele zimekuwa nyingi ndio mnakiambia chama alipo kiongozi wao!
Acheni huo ushamba wenu mnaendelea...
Sasa hawa polisi mbona wanaleta michezo ya kishamba. Mnamchukua mtu kwa madai ya kumpeleka kwenye mahojiano, lakini ampeleki kunakohusika mliposema.
Hivi mkiendelea kuambiwa kwamba mnateka mtakataa kweli? Embu muachie Heche mnazidisha hasira zaidi kwa wananchi.
=================
Soma Pia...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika akizungumzia tukio la kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti, Bara wa chama hicho, John Heche, leo Asubuhi Mahakamani alipofika kwa ajili ha kusikiliza shauri la uhaini linalomkabili Tundu Lissu.
"Kama kukamatwa kwake John Heche...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.