Ndugu zangu Watanzania,
Nawapendeni Sana Watanzania wenzangu.
Habari ni Kuwa Kura za Maoni zitafanyika upya katika Jimbo la Kongwa Kufuatia kifo cha Hayati Jobu Ndugai aliyekuwa miongoni Mwa wagombea katika Jimbo hilo.
Ambapo pia katika uchaguzi wa kura za Maoni za Awali kabla ya Kifo chake...
"Hayati Ndugai alikuwa mkomavu kisiasa na kiuongozi, na aliyeamini katika demokrasia ya Bunge. Alipokuwa Spika Bunge lilishuhudia mafanikio mbalimbali yaliyoelezwa hapa na Katibu wa Bunge lakini pia Mheshimiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"- Rais Samia.
Rais wa Jamhuri ya...
Kwa haraka hizi ndio alama za kumkumbuka hayati Job Ndugai
Pale Salasala Ndugai na Mbowe mwanajeshi ndio walikuwa Watu maarufu zaidi
Na Dodoma Jiji kuna Soko ambalo Shujaa Magufuli alilibatiza kuwa Solo la Ndugai
Rip Job Ndugai
Ndugai atakumbukwa kwa bunge lake akiwa spika lilipitisha na kutenga bajeti zote za miradi mikubwa ambayo nchi tunajivunia kwa sasa.
Kama bunge la Ndugai lingekataa ujenzi wa bwawa la umeme nchi ingekuwa gizani hadi leo, ujenzi wa SGR ambayo hadi masikini sasa wanatumia masaa 3 tu kutoka Dom...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.