Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi Hawa Mwaifunga leo Oktoba 7,2025 ameendelea na mikutano ya Kampeni kusaka kura za kuwa Mbunge wa Tabora mjini.
Mwaifunga akiwa katika kata ya Uyui amewataka Vijana kuchangamkia fursa za ajira katika viwanda ambavyo vitajengwa...