Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Haran Sanga, amepania kumaliza kero ya nyani kwa wakulima wa Kata ya Kimbiji.
Akizungumza na wananchi, Sanga alisema wakulima wengi wa mazao wamekuwa wakisumbuliwa na nyani hali ambayo imefifiza uchumi wao. Ameahidi endapo atapewa ridhaa...
Haran Nyakisa Sanga, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam, amechukua fomu yq kuwania Ubunge wa Jimbo la Kigamboni.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Leo Juni 28, 2025 amejiunga rasmi na wengine waliochukua fomu za kugombea nafasi hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.