harambee ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Turky Group of Companies (Vigor) Yachangia Tsh. Milioni 600 Harambee CCM Gala Dinner 2025

    TURKY GROUP YACHANGIA TSH. MILIONI 600 HARAMBEE CCM GALA DINNER 2025 Turky Group of Companies (VIGOR) imechangia jumla ya Shilingi Milioni 600 katika Usiku wa harambee ya CCM Gala Dinner 2025 iliyoendeshwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  2. J

    GE2025 CCM wasingeangalia kiasi cha fedha kilicholengwa kukusanywa badala yake wangeangalia fedha hizo zinatoka kwenye mikono gani!

    CCM wamefanikisha harambee yao kwa ajili ya Kampeni. Wamepanga kukusanya bilioni 100, wamekusanya bilioni 86 na ushee, ni mafanikio makubwa. Mtindo huu wa kufanya harambee kwa Vyama vya Siasa kwa ajili ya kugharamia Uchaguzi Mkuu si mgeni wala haujaanzishwa na CCM upo na unatumika kote duniani...
  3. GE2025 Ni aibu kwa CCM kufanya maagizo ya kukusanya bilioni 86 ndani ya usiku mmoja ili kuuhadaa ulimwengu kuwa wanakubalika na wananchi

    Ndugu zangu watanzania, Ni kweli watanzania wote kwa pamoja, tumeona sinema iliyokuwa ikiigizwa Jana na kweli mwandaaji wa sinema alipatia namna ya kuandaa sinema yake na kuwa andaa vyema waigizaji wake na ukweli sinema ilikuwa ni ya kuvutia Uhuni na maigizo yaliyo kithili mithiri ya sungura...
  4. R

    Kwa ile michango ya CCM jana, Nimegundua inawezekana kuwa na Harambee CCM kulipa deni la Taifa (Deni la Taifa Gala Dinner)

    Wakuu wa JF, Hawa ndugu zake Lucas Mwashambwa walipe tu deni la Taifa wenyewe Kwa namna ambavyo jana mawaziri, wafanyabishara na makundi mbalimbali ya CCM walivyokua wanataja kiasi cha fedha kwa ajili ya Michango ya kampeni za uchaguzi, nimewaza kuhusu Uongozi wa CCM ulivyochangia kuongezeka...
  5. GE2025 Nyahoza: Fedha walizochangisha CCM sio lazima zitumike kwenye uchaguzi

    Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty amesema Sheria ya Gharama za Uchaguzi haijaweka ukomo wa kuchangia fedha za uchaguzi na kwamba sio lazima fedha walizochangisha CCM zote zitumike kwenye uchaguzi. Kauli ya Nyahoza imekuja ikiwa ni siku moja tangu CCM walipochangisha Zaidi ya Sh86.31...
  6. GE2025 Zitto: Wafanyabiashara zamani waliichangia CCM kisirisiri kwa hofu ya kashfa zao kuibuliwa Bungeni

    Zitto Kabwe kupitia mtandao wa X, amesema kuwa baada ya CCM kuua bunge 2020 wafanyabiashara sasa hawajifichi tena kuchangia chama hicho hadharani tofauti na zamani ambapo bunge lilikuwa nguvu hivyo walilazimika kuvichangia vyama vyote kisirisiri ili kuhakikisha wanalinda maslahi yao. ---- CCM...
  7. F

    Matajiri wanaoichangia CCM fedha nyingi wanafaidika na mfumo CCM kwa kukwepa kodi

    Wapo waliotishiwa kuwa usipochangia tutafuatilia ulipaji kodi wa biashara yako! Hili jambo linahuzunisha kuona kwamba watu wanaoichangia CCM ni wafanyabiashara wakubwa wenye hofu ya kubanwa kwenye ulipaji wa kodi.
  8. Anayetaka urais anachanga Milioni 100, mfanyabiashara anachanga bilioni 1, Tanzania ukitaka utajiri waibie wananchi huku ukilindwa na Serikali

    Tanzania Ina njia mbili za kuwa Tajiri 1. Uwaibie wananchi uku ukirindwa na serikali. 2.uiibie serikali kwa KUSHRIKIANA na serikali yenyewe. Km msomaji wanibishia karibu njia Moja wapo hapo juu Hivi kumbe rais wa Tanzania ni kapuku TU? Urais wa Nini km ninakuwa maskini?
  9. GE2025 Rais Samia: Fedha hizi za harambee zitatumika vema katika kampeni kama ilivyokusudiwa

    Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongeza uandaaji wa hafla nzima ya uzinduzi wa harambee ya kuchangia kampeni ya CCM. Pia, ametoa pongezi kwa wasanii, watu mashughuli na watu wote kwa ujumla kwa makundi tofauti tofauti walioshiriki...
  10. GE2025 Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth Singh katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Uchaguzi Mkuu 2025

    Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu
  11. Hii imekaaje ? Upande mmoja CCM inagawa baiskel bodaboda na bajaji na upande mwengne inaomba kuchangiwa hela za kampeni

    Hii imekaaje au ina maana gani CCM inagawa baiskel, bodaboda vitenge kanga na zawadi nyengine kwa watanzania. Ila cha kushangaza pia inaomba mchango wa hela za kampeni billion 100.
  12. Wasanii Wajitokeza kwa Wingi Uzinduzi wa Harambee ya Kuchangia Kampeni za CCM Mlimani City

    Wasanii kibao kutoka tasnia mbalimbali wakiwasili Mlimani City jijini Dar es Salaam kunakofanyika uzinduzi wa harambee ya kuchangia kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu.
  13. Kumbukizi, Makonda aliwahi kusema wafanyabiashara wengi wanaichangia CCM sababu ya hofu

    Hii ni kauli ya Paul Makonda akizungumzia wafanyabiashara ambao wamekuwa wakilazimika kukichangia Chama cha Mapinduzi ili kuepukana na shari ambazo wanaweza kupata ikiwa watakataa. ''Wafanyabiashara wengi wanakichangia Chama cha Mapinduzi sio kwasababu wanakipenda sana ni kwa sababu ya hofu, Na...
  14. GE2025 CCM na harambee ya bilion 100 kwa ajili ya uchaguzi mkuu

    Je kuna haja ya kufanya haya maigizo ya kijinga namna hii? Upotevu na ufujaji wa pesa na muda ? Kwa uchaguzi upi lakini? Huu wa kiini macho uliokwisha malizika kwa kura za wizi? Mabilioni yalishatengwa, mabilioni yalishakusanywa toka vyanzo tata na vyenye walakini mkubwa Kuna wafanyabiashara...
  15. H

    Kabla ya kuichangia CCM, Tafakari kwa Umakini, Maana inaweza kuwa laana yako

    CCM ndiyo chama chenye Serikali. Uovu wote unaofanyika dhidi wananchi, kama vile utekaji na mauaji ya wakosoaji wa Serikali na Rais, uporwaji wa rasilimali za Tanganyika, vyote hivyo vimeridhiwa na CCM, ndiyo maana wanaoyafanya hayo hawabughudhiwa wala kuchukuliwa hatua na Serikali ya CCM...
  16. GE2025 Huenda CCM ikafikia lengo la b.100 kabla ya muda wa haraambee

    WanaCCM wote, Wafanyabiashara, wakulima, wafugaji, wavuvi, wajimbaji madini, wasafirishaji, wafanyabiashara, makundi maalumu yote, vyama vya ushirka, taasisi za fedha kama vile mabenki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na za kidinii, mashirka ya kitaifa na kimataifa, vyama marafiki wa ccm...
  17. B

    GE2025 Nimecheka sana Baada ya Kuona CCM wamekuja na Tone Tone

    Hahahaha......Ndugu zangu siasa zimegeuza ubao. Leo ccm wanakuja na tone tone? Wana wanachama takribani 13M kwa mujibu wa taarifa zao, kama ni za kweli au la sijui lakini Mwanachama mmoja mmoja tu akitoa elfu 10 ni mabilioni ya hela. Je wameshindwa kutumia fursa hiyo? Baadhi ya wadau wamehoji...
  18. GE2025 Nchimbi: CCM sio taasisi ya uchunguzi wa fedha haramu, jitihada yetu kubwa ni kujiepusha kuwa Serikali

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, amezungumza na wanahabari leo tarehe 11 Agosti 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba. Akijibu kuhusu jitihada za kudhibiti pesa haramu amesema, "Jitihada yetu kubwa sasa hivi kama...
  19. J

    GE2025 CCM kuchangisha pesa si jambo baya wala si geni

    Baada ya CCM kutangaza kupitia vyombo vya habari kuwa Mwenyekiti wake mama Samia Suluhu Hassani kesho ataongoza harambee ya kuchangia Uchaguzi Mkuu ujao, baadhi ya watu wameibuka wakikosoa na kupinga mkakati huo wakitoa sababu mbalimbali. Binafsi naona watu tumekosa Cha kujadiri au tumeishiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…