Aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa Songwe Happiness Seneda Leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Happiness Seneda ambaye alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe amewaaga Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo na kuweka wazi mipango yake ya kwenda kuwania Ubunge katika Jimbo la Geita.
Seneda amesema anamshukuru Rais Samia Suluhu kwa kumpa nafasi hiyo ya Katibu Tawala na kwamba alikuwa mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.