hamu ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hali ya juu sana ya hamu ya ngono

    Wapendwa, kwanza poleni sana na msiba. Kwa upande wangu, naona kabisa kama niko kwenye majaribu makubwa. Nimejaliwa watoto wangu wawili, na nikahisi wananitosha kabisa. Hapo nikachukua uamuzi wa kuweka kipandikizi mkononi. Baada ya mwaka mmoja kupita, kile kipandikizi kikaniletea maudhi...
  2. Je, unakosa stamina, hamu ya tendo? Pitia hapa

    Somo Fupi: Utofauti wa Bidhaa za Kawaida na Mendose Bidhaa nyingi za stamina – mara nyingi zinasukuma mwili kwa nguvu za bandia. Hupandisha presha ghafla, kufanya moyo kupiga haraka, kisha nguvu hupotea haraka. Matokeo yake: mwili unachoka zaidi, kinga hushuka, na mara nyingine husababisha hofu...
  3. Lijue Tatizo la Kujihisi Mnene na Kukosa Hamu ya Kula (Anorexia nervosa).

    Anorexia Nervosa Ni Nini? Anorexia Nervosa ni tatizo la akili na lishe (eating disorder) ambapo mtu hujizuia kula chakula au kula kidogo sana kwa hofu kubwa ya kunenepa, hata kama tayari ni mwembamba kupita kiasi. Mtu mwenye anorexia huwa na mtazamo usio sahihi juu ya mwili wake na huamini...
  4. Daah, leo nilikuwa na hamu ya wine Four Cousins-Ndio basi tena

    Huku kuna baridi sana, Nimepita dukani nikachukua Four Cousins nipige. Baadae nakumbuka ninatumia Cold-Off Capsule. Daah basi bwana
  5. Leo una hamu ya nini?

    Kwema, salamu zisiwe nyingi. Twende kazi una hamu ya kitu gani leo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…