hamasisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teka,hakikisha hakuna ushahidi, Kemea, sema mwenye taarifa za uhakika atuletee, wananchi wakianza kulalamika hamasisha Amani, toa michango kanisani

    Huo ndiyo utaratibu Wakuja kukuteka Kabla hawajaamua nini cha kukufanya wanaangalia kuna ushahidi, kuna watu wameturecord au kupiga picha, kama hamna wanafanya walichopanga kufanya, kama kuna ushahidi wa pich zao wanatoa update kwenye kile kipage chao alafu wanafunga comments. (Hakuna ushahidi...
  2. mtu anayefanya mauwaji sababu ya madaraka ni chizi viongozi wa dini wanapaswa kuimarisha ulinzi wao wakati huu pale wanapo hamasisha haki

    Siamini kama muovu ni mtu timamu kiakili alietimia namchukulia kama chizi anayepaswa kuchukuliwa hatua za taahadhari wakati wote, kwani chizi anaweza kukuuwa yeye ni jambo dogo hilo yani hana akili. Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya mauwaji ya wenzie wanao hamasisha haki na demokrasia bali...
  3. Raisi samia utulivu unao hamasisha hauwezi kufanya uchaguzi kuwa huru na wa haki lazima mabadiliko ya kiuchaguzi yafanyike kwanza

    Nilimsikia samia anakwepa mabadiliko ya kiuchaguzi anahamasisha tu itulivu kwamba utapelekea uchaguzi wa haki bila mabadiliko yoyote ya kiuchaguzi bado hakuwezi kuwa na uchaguzi huru na wa haki. Nasisitiza hakuna yoyote aliye hamasisha vurugu kwenye nchi wala aliye shika silaha yoyote mpaka...
  4. PreGE2025 Rais Samia acha kusema uongo na kukuza mambo. CHADEMA ilihamasisha mabadiliko ya uchaguzi sio vurugu

    Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ? Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi...
  5. Nishati Safi: Kwanini Tunahimiza / Hamasisha kutumia Fedha za Kigeni katika Mapishi wakati tuna Mbadala

    Usinielewe vibaya mimi sio Mercantilist, na ninakubaliana na Bwana Smith aliposema, "It is the maxim of every prudent master of a family never to attempt to make at home what it will cost him more to make than to buy". Kwahio cha kujiuliza je ? Kuhamasisha matumizi ya LPG badala ya kuhakikisha...
  6. Weka wimbo /msemo(quote) wowote unao hamasisha utafutaji wa PESA

    Ni siku nyingine tena Mwenyezi Mungu katujalia uhai ,ikiwa na maana tumepata wasaa pia wa kutafuta pesa -ikiwa ina maana ukiwa na pesa itakusaidia kupata suluhu ya mambo mengi sana . mimi ntakupa wimbo mmoja tu zamani wazazi waliuchukia sana sababu ulihusishwa na dawa za kulevya lakini ukaja...
  7. S

    Wanasiasa na wanaharakati hamasisheni wananchi waweze kujilimia chakula la sivyo hali itakuwa mbaya sana baadaye

    Nasema na wanasiasa na wanaojiita wanaharakati tuna jambo kubwa sana kwa wakati huu kama nchi kukosekana kwa mvua ya kutosha ambayo tunategemea kwenye kilimo ukiwemo na umeme Hoja yangu ni hii mtumie majukwaa kuhamasisha wananchi kufanya kazi kwa bidii na hata kwa hizi mvua chache hamasisheni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…