hamas na israel

This page is subject to the extended confirmed restriction related to the Arab-Israeli conflict.

On 7 October 2023, a large escalation of the Gaza–Israel conflict began with a coordinated offensive by multiple Palestinian militant groups against Israel. A number of countries, including many of Israel's Western allies, such as the United States and a number of European countries, condemned the attacks by Hamas, expressed solidarity for Israel and stated that Israel has a right to defend itself from armed attacks, while countries of the Muslim world (including the Axis of Resistance) have expressed support for the Palestinians, blaming the Israeli occupation of the Palestinian territories as being the root cause for the escalation of violence. The events prompted several world leaders to announce their intention to visit Israel, including US President Joe Biden, French President Emmanuel Macron, German Chancellor Olaf Scholz, and British Prime Minister Rishi Sunak.
Numerous countries called for a ceasefire and de-escalation. International organizations, student organizations, charities, ecumenical Christian organizations, and Jewish and Islamic groups commented on the situation. On 27 October 2023, the United Nations General Assembly passed a resolution calling for an immediate and sustained humanitarian truce and cessation of hostilities, adopted by a vote of 121 states to 14, with 44 abstentions. As of 13 November 2024, Belize, Bolivia, Colombia, and Nicaragua have severed diplomatic relations with Israel, while Bahrain, Chad, Chile, Honduras, Jordan, South Africa and Turkey have recalled their ambassadors from Israel, citing Israeli actions during the war.

View More On Wikipedia.org
  1. Echolima1

    Makubaliano kati ya Hamas na Israel yaelekea kuvunjika?

    Magaidi kadhaa waliokuwa na silaha waliviona vikosi vya IDF vinavyokaribia kufanya kazi katika eneo la Beit Lahia nyuma ya mstari wa njano, na kusababisha tishio la mara moja kwa askari. Kwa mujibu wa makubaliano ya kusitisha mapigano, magaidi hao walipigwa baada ya kuvuka mstari wa njano...
  2. Echolima1

    Israel yawataka Hamas kuurudisha Mwili wa Joshua Mollel

    Joshua Mollel, mwanafunzi wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 21, alikuja Israel kusomea kilimo, sio kuchinjwa na magaidi wa Hamas. Walimuua tarehe 7 Oktoba, waka unajisi mwili wake, na kuteka nyara hadi Gaza. Hamas lazima waachilie mwili wa Joshua sasa. Familia yake inataka tu kumpa mazishi...
  3. ELI COHEN

    Hamas walilazimisha vita ambayo hawawezi kushinda. Sasa wanaoteseka ni wananchi wa kawaida huko Gaza

    Hii ndio Gaza ilivyo sasa, matokeo ya kulazimisha vita ambayo hawawezi kushinda, hamas kuji-mwambafai huku wanaoteseka ni wananchi wa kawaida. Lakini kuna utindio wa ubongo mmoja atakuja kuilaumu israel kwa haya huku akiacha Hamas
  4. Webabu

    Meja Generali wa Israel awatisha IDF akisema wapiganaji wa Hamas idadi yao imerudi kama mwanzo.Wako kwenye mahandaki

    Meja generali mstaafu Yitzhak Brik amesema sio kweli kwamba wapiganaji wa Hamas wamedhoofishwa baada ya vita vya miaka miwili. Meja huyo amesema hata kama viongozi wote wakuu wa Hamas wameuliwa lakini kinyume na madai ya IDF,wapiganaji hao wamejikushanya upya na kurudi idadi yao ile ile au...
  5. ELI COHEN

    Kwanini leo Hamas ahangaiki kuikomboa Jordan?

    80% ya nchi ya Jordan ni sehemu ya iliyokuwa BRITISH MANDATE OF PALESTINE kabla ya wayahudi kurudi kwao. Kwanini leo hamas ahangaiki kuikomboa Jordan? Ndio hapo utakapogundua itikadi ndio inayocheza nafasi. Ni ugaidi unaofanyika katika kivuli cha kutafuta haki na ustawi
  6. ELI COHEN

    Hamas wamewaua Watoa Misaada 5 na huenda wamewachukua mateka wengine

    Habari kama hii hauwezi kuisikia ikipata promo coz aliefanya sio Myahudi
  7. S

    Wapalestine 26 wameuawa na maelfu kujeruhiwa katika kituo cha usambazaji wa misaada Kusini mwa Gaza

    Angalau Wapalestina 26 wameuawa na maelfu wamejeruhiwa baada ya vikosi vya Israel kufungua moto Jumapili karibu na kituo cha usambazaji wa misaada kusini mwa Gaza kinachosimamiwa na msingi wenye utata unaoungwa mkono na Marekani, kulingana na Shirika la Msalaba Mwekundu la Palestina na hospitali...
  8. Echolima1

    Microsoft yamfuta kazi mfanyakazi aliyekatisha hotuba ya CEO Satya Nadella ili kuitetea Palestina

    Microsoft imemfuta kazi mhandisi Joe Lopez baada ya kuvamia hotuba ya Mkurugenzi Mtendaji Satya Nadella katika mkutano wa Build mjini Seattle, akipinga ushirikiano wa kampuni na jeshi la Israel kwenye vita vya Gaza. Lopez alilalamikia matumizi ya huduma ya Azure na baadaye kutuma barua kwa...
  9. Echolima1

    Kwa Unafiki wao, Aljazeera hawawezi kukuonyesha video hii

    Jana baada ya Israel kutoa amri ya watu kuhama kwenye maeneo yao na kwenda sehemu nyingine walioelekezwa, Majeshi ya Israel 🇮🇱 jiani talia za kugawa maji na bites kwa wanawake na watoto waliokuwa wanahama. Aljazeera kwa unafiki wao hawawezi kabisa kuonyesha video hiyo maana wao ni wazee wa...
  10. G

    Israel ukitupa jiwe pembeni ya nyumba yake yeye anakubomolea nyumba yako kabisa. Sasa ni zamu ya Yemen na Iran

    Waarabu waliokutana na kisasi Cha Israel wamenyamaza kimya hawatamani hata kuwasikia Gaza kupitia magaidi wa hamas 7october walichokoza kidogo tu Israel Leo miji yao ni magofu wanagombea CHAKULA Cha misaada Misri ilipigwa imetulia kimya hata kuwafungulia ndugu zao mlango wa Rafah wakimbilie...
  11. Chizi Maarifa

    Israel yaua Wapalestina 34 akiwepo Afisa Mwandamizi wa Hamas na Mkewe

    Kumekucha. Jamaa wapo serious kweli kweli wanapata sababu za kuitwaa Gaza. Na wanatafuta sababu kila mara. Sasa upele umepata mkunaji.
  12. Echolima1

    Israel wafanya shambulizi jipya Gaza na kuua watu 300

    Wakuu, Jeshi la Israel limefanya mashambulizi makubwa Gaza, likisema linashambulia ngome za Hamas. Wizara ya Afya ya Hamas imeripoti vifo vya watu 330. Mashambulizi yalianza alfajiri wakati wa daku, yakilenga Gaza City, Rafah, na Khan Younis. Israel imesema operesheni hiyo ni kujibu kukataa...
  13. Bams

    Hamas wapo tayari kuiweka Gaza chini ya udhibiti wa Marekani

    Taarifa kutoka kwa mjumbe wa Marekani aliyefanya mazungumzo ya moja kwa moja na Hamas, ameeleza kuwa Hamas wametamka kuwa wapo tayari kuingia kwenye makubaliano ya kusitisha vita kwa kipindi kati ya miaka 5 hadi 10. Katika kipindi hicho, Hamas wataweka silaha zao chini, na kuikabidhi Gaza kwa...
  14. W

    Israel yaridhia kuongezwa muda wa usitishwaji vita hadi Ramadhan na kwaresma itakapokwisha

    Israel imekubali kuongeza muda wa usitishwaji wa mapigano huko Gaza ambao utadumu kwa muda wa Ramadhani na Pasaka ya Kiyahudi. Hamas hapo awali ilikataa wazo la kuongeza muda huo, badala yake inapendelea utekelezaji wa awamu ya pili ya usitishwaji wa mapigano. Israel ilikubali pendekezo...
  15. kimsboy

    LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran

    Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo Yemen tayari keshaandaa wanajeshi laki 4 Iraq kuna wanajeshi laki 2 na nusu Hezbollah wapo zaidi laki...
Back
Top Bottom