Naomba kujua hawa watu wanao unga bando za halotel wanapata wapi kibali au wanawezaje ?maana naona siku hizi watu wengi wamekuwa mawakala wakuunga hizi bando za halotel mfano
GB 5 = sh 5000
GB 10= sh 8000
GB 20 = sh 18,000
Na yingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.