halmashauri ya temeke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    PreGE2025 Wakili Peter Madeleka: ACT ikiingia Madarakani, Tutahakikisha kila Askari anamiliki Ghorofa na Land Cruiser

    Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wananchi Jimbo laTemeke, amesema ACT Wazalendo Wakiingia madarakani watahakikisha Polisi wanaostaafu wanaondolewa kikokotoo ikiwa ni sababu ya umasikini amesema pia Polisi wakilinda Kura kila Askari atamiliki Ghorofa na gari Land Cruiser
  2. M

    Uchafu wa Soko la Tandika ni hatari, Halmashauri ya Temeke inakusanya Fedha na haina inachofanya

    Nimekuwa nikienda kwenye Soko Kuu la Tandika kwa muda sasa, hivi karibuni hali ya mazingira ya soko hilo imekuwa ikizidi kuwa tata na inayotia ukakasi kiafya. Sehemu ya kupikia ambayo inatumiwa na Wanawake wengi kupika chakula cha biashara kuna jalala lililopo pembeni, kwa ujumla hali ya uchafu...
  3. Halmashauri ya Temeke wamemnyanyasa muhasibu wangu ofisini wangu kisa leseni, nataka kuchukua hatua, nifanyeje?

    Sababu kubwa ni kwamba ofisi ilikuwa Ilala na sasa imehamia Temeke na leseni yangu ambayo bado iko active nilikuWa sijai-relocate. Na nimehamia hapa mwezi huu kwa hiyo hilo zoezi nilikuwa njiani kulifanya ila wao wameniwahi na hawataki kuelewa kila napowapa maelezo. Wamemchukua mhasibu wangu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…