Ukikipata kitu kwa haki basi nafsi yako hufurahi na kukupa maisha marefu na Ukikipata kitu kwa dhuruma nafsi yako hukusuta mpaka mauti
Muangalie Magufuli alivyokuwa anacheka na watu kutoka moyoni sababu ushindi ulikuwa ni haki yake na watu walimpenda,kinyume chake ngoja nikae kimya
Bashiru Ally, ambaye ni Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amesema kuwa amani, haki na uhuru ni nguzo muhimu ambazo haziwezi kupuuzwa.
Ameyasema hayo wakati akifanya mahojiano na Mtangazaji Chief Odemba katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV.
Amesisitiza kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.