Haki na Amani.
Wanasiasa wa Africa, au Tanzania malazote Kwenye majukwaa utakuta wanazungumzia tudumishe Amani.
Swali Huwa najiuliza, Mbona awazungumzii swala la Haki na Usawa, Maana Palipo Na Haki Amani utamalaki pia Haki ni ngao kubwa ya Amani, Kwa Nini Amani Imekua kama kichaka cha...