haki kupiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    GE2025 Samia: Hakutakuwa na tishio lolote la kiusalama siku ya Uchaguzi

    Mtu anataka kuhalalisha uoga uliopo tayari. Ungekuwa kweli hakuna hofu, basi isingehitajika kutamka hivi. ================= "Tunaomba kura zenu Wanamsata, la muhimu sana Wanamsata, tarehe 29 mwezi wa 10, Mwenyezimungu tumuombe atuamshe salama, ukitoka kuelekea kituo cha kura, tunasema twende...
  2. Cute Wife

    PreGE2025 Hakuna mabadiliko yoyote yaliyofanyika kwenye haki ya wafungwa kupiga kura, Makalla amepotosha!

    Wakuu, Mwaka 2022 Mahakama ilibatilisha kifungu cha 11 (1) (c) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi kinachoweka zuio kwa wafungwa wanaotumikia adhabu ya kunyongwa na wanaotumikia adhabu ya kifungo cha zaidi ya miezi 6 kujiandikisha ili kupiga kura. Hivyo kwa kufuta kifungu hiki ilifanya wafungwa...
Back
Top Bottom