habibu mchange

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. bullar

    Kauli hii ya Mchange inafikirisha sana na kuibua maswali mengi

    “Sisi tunajua Lissu alifanya Makosa ndio maana Familia ya Lissu iko tayari kwa maridhiano lakini Heche anafanya kila namna kuzuia maridhiano hayo” Habibu Mchange. Naomba kuuliza wataalamu wa mambo ya sheria humu JF kama ifuatavyo. 1. Tamko kama hili sio kuingilia mwendendo wa shauri ambalo lipo...
  2. Just Pray

    PostGE2025 Habibu Mchange: Lissu na Heche ndiyo walioratibu maandamano ya Oktoba 29

    Katika kipindi cha One Against One kati ya mtangazaji nguli Chief Odemba na mwanahabari mwandamizi Habibu Mchange, Mchange amesema kuwa mwenyekiti wa Chadema na makamu wake John Heche ndio walioratibu maandamano ya Oktoba 29 siku ya uchaguzi mkuu.
  3. Just Pray

    Habibu Mchange: Hakuna Mwanasiasa yeyote hapa Tanzania asiyetamani kuwa Mwanachama wa CCM

    “Hakuna Mwanasiasa yeyote hapa Tanzania asiyetamani kuwa Mwanachama wa CCM, wote walionitukana wakati nimejiunga na CCM sasa hivi tuko nao wote CCM” Habibu Mchange
  4. K

    GE2025 Salaam za Shukrani 🙏 Kutoka kwa Habibu Mchange

    Salaam za Shukrani 🙏 Kwa unyenyekevu mkubwa, mimi Habibu Mchange ninakishukuru Chama changu cha Mapinduzi kwa kunipitisha kuwa miongoni mwa majina sita yaliyopendekezwa—ambapo mmoja wetu, ikimpendeza Mungu, atakuwa mwakilishi wa wananchi wa Kigamboni kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Moyo...
  5. W

    PreGE2025 Mchange aipongeza TAKUKURU, baada ya kushikiliwa na kuhojiwa kwa saa kadhaa

    Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) na Mkurugenzi wa Jamvi Media Group, Habibu Mchange, amepongeza juhudi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) katika kudhibiti vitendo vya rushwa, hasa kuelekea uchaguzi mkuu. Akizungumza na gazeti la...
Back
Top Bottom