gwajiboy

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Salamu kwa Askofu Gwajima

  2. Kumeanza kuchangamka leo ni Gwajiboy kesho Polepole anamambo mazito ya kuteta

    Kumeanza kuchangamka leo ni gwajiboy kesho slow slow anamambo mazito ya kuteta. Sauti hizi za ndani kwa ndani ya CCM zina mchango mkubwa kwenye kushinikiza mabadiliko nchini. Ikumbukwe CCM ni chama cha kidemokrasia lazima kifanye siasa za kidemokrasia na niwatanzania ikitokea kikashindwa...
  3. PreGE2025 Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!

    Askofu Gwajima amesema Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuwa entertained Gwajima anasema huwa haongei kwa kubahatisha, mpaka anakuja kuongea mbele za watu ni kwasababu ana data, na data hizo amekuzikusanya kutoka matukio yaliokuwa yanafanyika miaka kadahaa na kupata orodha ya watu...
  4. Ushauri kwa Askofu Gwajima, John Heche na wanasiasa wengine

    HUU UZI SIO WAKUUNGANISHWA, UNAJITEGEMEA. 1. muwe makini sana na matamshi yeyote mnayofanya popote, na hii ni kwa watanzania wote wanaowasemea wengine, watu wabaya wakikosa cha kukushitaki, huwa wanajua with time utajikwaa tu kama sio kwenye sheria za cyber, basi kwenye matamshi yako kwa sababu...
  5. Tetesi: Jimbo la Kawe Wazi!. Ubunge wa Gwajiboy Kwenye Hati Hati!. Umehang Kwenye Utando wa Buibui!. Ama Achanje Asalimike, Akikomaa, Amwagwa!.

    Wanabodi, Declaration of interest. Kwa vile mimi ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM na niliomba fomu kupitia CCM kuomba kupitishwa kugombea ubunge wa jimbo la Kawe, kwa tiketi ya CCM, ila watu wanaitwa Wajumbe wakafanya yao. Tulikuwa wagombea 176, tunatafuta nafasi moja!, hivyo ilikuwa ni...
  6. R

    Mataga, UVCCM na CCM Mpya mbona mnamtelekeza Polepole na Gwajiboy?

    Enzi za utawala wa kisahunga haya makundi mawili yalikuwa active kama nyuki. Ukigusa mmoja wao basi ujiandae kupata mashambulizi kutoka kila kona. Pengine kwa sababu tulikuwa uchumi wa kati na huenda walikuwa wanalipwa vizuri. Si unajua CCM maslahi? Sasa awamu hii joka walilolifuga...
  7. Tutegemee nini baada ya Rais Samia kusema 'Gwajiboy oyee Tunachanja, hatuchanji' mbele ya Askofu Gwajima?

    Mapema Leo wakati Rais Samia yupo Tegeta jimbo la Kawe kwa Mchungaji Gwajima akiongea na wananchi na wakazi wa Kawe waliojitokeza kumsikiliza ameongea mengi lakini kati ya hayo ni pale aliposema "Gwajiboy oyeee, tunachanja, hatuchanji? Haya mheshimiwa gwajima endelea" Kwa kauli hii Spika na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…