godfrey malisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Moshi: Mahakama yatoa ahirisho la mwisho kesi ya makosa ya mtandao ya Mchungaji Malisa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imeahirisha usikilizwaji wa mashahidi wa upande wa mashtaka katika kesi ya makosa ya mtandao inayomkabili Mchungaji Godfrey Malisa, baada ya mshtakiwa kuomba kuahirishwa kwa shauri hilo akisubiri msaada wa kisheria kutoka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)...
  2. R

    Rais Samia unaitisha maridhiano wakati huo huo unambambikia kada wako mtiifu Godfrey Malisa kesi ya kubumba ya uhaini! Are you serious na maridhiano?

    Rais wangu, kwa heshima na taadhima kubwa, Unaonekana ni mzaha na dharau! Dhamira ya kweli na common sense tulitegemea watu wote wenye kesi za kubumba wawe huru ukianza na Lisu, angalau kwa mbali kuwa umeanza kubadirika! Utekaji, uuaji, upotezwaji, ulawiti, ufiraji, ubakaji bado uko pale...
  3. PostGE2025 Aliyekosoa mchakato wa uteuzi wa Samia ndani ya CCM, Mzee Godfrey Malisa ashtakiwa kwa UHAINI

    Mchungaji Godfrey Malisa, aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi mkoani Kilimanjaro akikabiliwa na kosa la uhaini. Kesi hiyo (Namba 000028333 ya 2025) inatarajiwa kutajwa kesho, Ijumaa, Januari 2, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu...
  4. PostGE2025 What happened to CCM's Godfrey Malisa? His latest message to the public is alarming and chronically sad

    For those of you who don’t know Pastor Godfrey Malisa, here’s a quick rundown: Who is Godfrey Malisa? Pastor Godfrey Malisa is a former member of Tanzania's ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM). He joined CCM in 2021 after being involved in other parties and ran for positions like...
  5. Tetesi: Inadaiwa Dkt. Godfrey Malisa ametekwa jana usiku akiwa nyumbani kwake

    Wakuu Twaha Mwaipaya amedai kuwa amepokea taarifa za aliyekuwa mwanachama wa CCM, Dkt. Godfrey Malisa ametekwa jana usiku akiwa nyumbani kwake maeneo ya msamaria majengo au malenga, siku chache baada ya kutoa maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania).
  6. S

    Dr. Malisa yuko peke yake? Ataepuka kesi ya uhaini?

    Wote tunafahamu maandamano ni haki ya kikatiba, ila kwa utawala huu, maandamano yamegeuka kuwa ni kosa la uhaini. Kwa msingi huo na nikirejea kesi ya Lissu kuhusu uhaini, Dr. Malisa ataepuka kesi ya uhaini kwa hoja ya kumtisha Rais kama tulivyoona kwenye kesi ya Lissu? Na je, Dr. Malisa yuko...
  7. PostGE2025 Dkt. Malisa: Rais Samia ajiuzulu kabla ya Disemba 9 au Akabili Maandamano makubwa ambayo hayajawahitokea Barani Afrika

    Katika video aliyo-post kwenye chaneli yake ya YouTube, aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godfrey Malisa ameeleza maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania) baada ya kutangaza kuundwa kwa kamati hiyo siku chache zilizopita. Amesema...
  8. Kesi ya Mchungaji Dr Msomi Godfrey Malisa (PhD) imeisha wapi?

    Huyu Msomi (PhD holder) alivuliwa uanachama CCM baadae akakimbilia kufungua kesi dhidi ya Mwenyekiti. Sijui imeishia wapi ile kesi yake jamani.
  9. R

    GE2025 ICC: Godfrey Malisa chukua tahadhali, usije kuwa kama Humphrey Polepole. Please and please take note of this

    Chukua tahadhali, huyu Mama ameshavua nguo zote za ubinadamu. Usifanye mzaha,usalama wako uko on test, tena test kubwa. Chukua tahadhali! Umemshika masharubu simba mla watu. Take care please.
  10. GE2025 Dkt. Malisa awafungulia Kesi Rais Samia na IGP Wambura Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) The Hague

    Aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godfrey Malisa, amefungua rasmi kesi Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) iliyoko The Hague, Uholanzi akiwashitaki Rais Samia Suluhu Hassan na Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Camillus Wambura, kwa madai ya uvunjaji wa haki za...
  11. R

    Msajili wa vyama vya siasa: Ya Mpina sawa, uko sahihi, umetenda haki. Je ya Mama na Godfrey Malisa yako sawawa/sahihi?

    Nakupongeza kwa kutenda haki, kama amechaguliwa kinyume na Katiba ya ACT, mtengue kama ulivyofanya. Lakini mbona scenario ya Mpina ni sawa na ya Samia? why double standards Ninaomba jibu ya dokezo langu hapo juu.
  12. GE2025 Dkt. Godfrey Malisa: Nitamuunga mkono Luhaga Mpina katika mbio za urais

    Aliyekuwa Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkazi wa Mkoani Kilimanjaro, Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa, amesema atamuunga mkono Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, na ataendelea kutafuta haki kwenye vyombo vya sheria ili kuhakikisha CCM inarejea kwenye misingi...
  13. R

    Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa, USIKATE TAMAA, refile your case kama imekuwa struck out!

    Rekebisha hicho Jaji alichokisema kuwa umekikosea, then refile. Kama imekuwa struck out, hiyo inakuwezesha ku refile your case! Let history have it that you fought for what you believed to be Unjust/wrong/unconstitutional!
  14. E

    GE2025 Kesi ya Dk Malisa dhidi ya CCM yasogezwa hadi Agosti 19

    Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na aliyekuwa kada wa CCM, Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa iliyokuwa isikilizwe Agosti 14, sasa imesogezwa hadi Agosti 19, 2025. Katika shauri hilo linalosikilizwa na jopo la mawakili watatu, Dkt Malisa anaiomba mahakama kutoa tafasri na uamuzi wa usahihi katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…