Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu nchini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe, Geofrey Kiliba, amesema kuwa mwezi wa Oktoba ni kipindi muhimu mno kwa Watanzania kuungana na kushikamana kwa dhati ili kuonesha mshikamano wa kitaifa na kuendeleza amani. Kiliba...