gobless lema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Chadema yalaani Kuzuiliwa kwa Gobless Lema mpakani Namanga

    Ikumbukwe kwamba kuna amri ya Haramu iliyotolewa na viongozi wa Tanzania ya kuzuia Viongozi wa Chadema kusafiri Nje ya Nchi. Nabii huyo wa Mungu amenyang'anywa Passport yake na kutakiwa kuripoti Uhamiaji Makao Makuu Dodoma ikiwa ana Malalamiko yoyote. Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kote...
  2. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Lema: Popote walipo G55 "tembeeni" kwani wapo watu wamefariki kutokana na chama na hakuna waliodai uongozi

    Kada wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Godbless Lema amesema chama hicho hakipo kwa ajili ya kuwafikisha watu katika ndoto zao badala yake wapo kwa ajili ya kupambania maisha ya kizazi kijacho. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Lema amjibu Wenje kuhusu Join The Chain Asema ni muongo

    Fikiria anakuja mtu anayetaka kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, Ezekia Wenje huyo maana yake ni kwamba Mwenyekiti akiwa hayupo huyo ndiye anakuwa Mwenyekiti wa chama taifa. Taswira ya mtu muongomuongo hivi, anayebebwabebwa na watu wengine kama kina Abdul..kimsingi ndiyo maana nilisema...
  4. Cute Wife

    PreGE2025 Lema: Sitagombania ubunge Arusha mjini

    Wakuu, Lema asema hatogombania ubunge wa Arusha Mjini 2025, lakini amesema ataendelea kushiriki kwenye harakati zote za chama katika kuleta mabadiliko. Pia, Soma: Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA Lema ameyasema hayo leo Januari 14, 2025...
Back
Top Bottom