glory tausi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Glory Tausi: Nawahakikishia kuwa uchaguzi huu Utakuwa huru na wa haki

    Nawahakikishia kuwa uchaguzi huu Utakuwa huru na wa haki” Glory Tausi, Mgombea Ubunge Kawe - ACT WAZALENDO
  2. Just Pray

    GE2025 Glory Tausi: G55 tulitoa mawazo mazuri CHADEMA, lakini yalipuuzwa

    Kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Edwin Odemba Mwanachama wa zamani wa CHADEMA, na Mmoja wa kundi la G 55 kwa wakati huo, ambaye kwa sasa ni Mgombea Ubunge jimbo la Kawe kupitia Act Wazalendo Glory Tausi amesema G 55 walitoa mawazo yetu mazuri kwa Chadema ya namna...
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Glory Tausi apita nyumba kwa nyumba, biashara kwa biashara kuzitafuta kura jimbo la Kawe

    Kura zinatafutwa haswa jamani! ==================== Mgombea ubunge wa Kawe kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Glory Shayo ameendelea na kampeni zake za nyumba kwa nyumba akiwa na wagombea udiwani wa kata za Kunduchi, Kawe, Bunju na Mbezi Juu. Shayo na timu yake leo Jumamosi Septemba 20...
  4. W

    GE2025 Glory Tausi: No Reforms, No Election ya Mbowe ilikuwa ina mikakati ya kuhakikisha tunashida uchaguzi na tunatangazwa, Ya Lissu ilikuja na nginjanginja

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia ACT Wazalendo, Glory Tausi ameeleza kuwa No reforms No Election ya Mbowe ilikuwa na mlango wa kutokea kuelekea kwenye Uchaguzi, na anaamini wangeshinda na kutangazwa lakini No Reforms No election ya pili (ya Lissu) imekuja na nginjanginya ingawa bado...
  5. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Glory Tausi apita nyumba kwa nyumba kuomba kura jimbo la Kawe

    Mgombea ubunge wa Kawe kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Glory Tausi, leo Ijumaa, Septemba 12, 2025 ameendelea na kampeni zake kwa staili ya kupita nyumba kwa nyumba na vijiweni katika mitaa mbalimbali ya jimbo hilo. Picha na Michael Matemanga
  6. McLaren

    PreGE2025 Afisa TEHAMA ACT Wazalendo Glory Tausi achukua fomu ya kugombea Ubunge ACT Wazalendo

    Afisa TEHAMA Makao Makuu, Grory Tausi, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama cha ACT Wazalendo kugombea ubunge wa Jimbo la Kawe. Fomu hiyo imekabidhiwa rasmi na Mwenyekiti wa jimbo hilo, Perpetua Martin Mafa.
  7. Waufukweni

    PreGE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Shinyanga, Emmanuel Ntobi na Glory Tausi wajiunga na ACT Wazalendo

    Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Ntobi amehamia chama cha ACT Wazalendo na kupokelewa na Katibu Mkuu wa chama hicho Ado Shaibu. Akizungumza leo Juni 03, Ado amesema "wapiganaji ambao wamegonga mlangp hapa ACT tumekuwa tukiwapokea leo...
Back
Top Bottom