Mbunifu na Mwanamitindo mashuhuri duniani kutoka nchini Italia Giorgio Armani, amefariki dunia hii leo Septemba 4, 2025 akiwa na umri wa miaka 91, Kampuni yake imethibitisha.
Kupitia taarifa rasmi iliyotolewa na Kampuni ya Giorgio Armani imeeleza “kwa huzuni isiyo na kifani Kampuni ya Armani...