geofrey mwambe

Geoffrey Mwambe is a Tanzanian CCM politician and a cabinet member. He is an elected MP for MASASI Urban in Mtwara region and was appointed by Tanzanian President John Magufuli in 2020 to serve as the Minister of Industry and Trade in December 2020. He was appointed as the head of the Tanzania Investment Center on 17th May 2017 before being elected a Member of Parliament for MASASI Urban and appointed in the cabinet after the 2020 Tanzanian general election. He continues to represent his people in MASASI Urban as their MP.
Geoffrey Idelphonce Mwambe is famously known for his open door policy, advocacy for private sector businesses and upholding ethical standards, innovation, creativity and public accountability.

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    PostGE2025 Polisi: Tulimkamata Geofrey Mwambe Desemba 7,2025 kwa tuhuma za jinai

    TAARIFA KWA UMMA Hali ya Usalama jijini Dar es Salaam ni nzuri na wananchi wanaendelea na kazi halali mbalimbali. Hata hivyo tarehe 07 Desemba, 2025 usiku eneo la Tegeta Kinondoni alikamatwa Geofrey Mwambe kwa tuhuma za jinai ambazo zinachunguzwa. Hatua zaidi za kisheria zinakamilishwa...
  2. Mhaini

    CCM walijua Geoffrey Mwambe atalamba Miguu, Mnamtesa bure. Hawezi

    Vyombo vyetu vya habari vimekaa kimya. Japo Mimi sio CCM ila Mwambe ni Hazina ya taifa. Ni mwanasiasa anayejali watu wa vyama vyote. Mtanzania halisi asiye na unafiki Kwa mara ya kwanza nilionana naye akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC). Nilienda na Wanahabari, but...
  3. Mohamed Ismail

    Masasi ya Geofrey Mwambe ni bambam

    Anaandika Mo Mlimwengu. Historia hutusaidia kujua tulipotoka, tulipo na tunapoenda. Mh Geofrey Mwambe Mbunge wa Masasi Mjini anazidi kujipambanua kiutendaji namna ambavyo anajitahidi kusukuma maendeleo kwenye jimbo lake. Binadamu tumeumbwa kusahau na kuna wakati mtu akifanya mazuri tunaona ni...
Back
Top Bottom