Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Balozi Waziri Salum amesema anakusudia kubadilisha matumizi ya eneo la kiwanda cha tairi cha General Tyre kilichopo Mkoani Arusha kutokana na kiwanda hicho kusimamishwa uzalishaji tangu mwaka 2007 na kutumia kiasi kikubwa cha Fedha kwa ajili ya huduma...