Kwa Mujibu wa Taarifa zilizochapishwa na Mashirika Mbalimbali ya Habari Septemba 29, 2025, Vijana wa Morocco waliongoza maandamano makubwa wakipambana na polisi na kufunga barabara kuu katika kile kinachotajwa kuwa kupinga Muenendo wa vipaumbele vya serikali kutojali huduma muhimu za kijamii...