Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Geita na Mtia nia wa Ubunge jimbo la Geita mjini Manjale Magambo Ametekwa jana 24 October 2025 saa tatu Nyumbani kwake maeneo ya Bombambili.
Simu yake ilituma Masseji za maandamano kwa watu zaidi ya 2000 inasemekana alifanyiwa figisu kwenye ubunge sasa analipa...
Mkuu wa kitengo cha hamasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makao makuu Upendo Peneza amejitosa kuomba ridhaa ya chama kuwania nafasi ya Ubunge jimbo la Geita mjini Mkoani Geita.
Hii ni mara ya pili kwa Peneza kuomba nafasi hiyo ambapo mwaka 2020 aligombea jimbo hilo kupitia Chadema lakini...
Mbunge wa Jimbo la Geita mjini anayemaliza muda wake Costantine Kanyasu leo Jumatatu Juni 30, 2025 amejitokeza katika ofisi za CCM wilaya ya Geita na kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika jimbo la Geita mjini.
Kanyasu amehudumu katika Jimbo la Geita kwa muda wa miaka 10 kuanzia mwaka 2015...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Manjale Magambo amechukua fomu kuomba uteuzi wa kuwania ubunge katika Jimbo la Geita Mjini.
Magambo amekabidhiwa fomu hiyo Juni 28,2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Geita, Michael Msuya.
Mapema leo Juni 28, 2025 aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa katika Mikoa ya Geita, Mara na Mwanza Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi, amefika Ofisi za Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Geita na kuchukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Geita Mjini katika uchaguzi wa mwaka 2025.
Injinia Gabriel ambaye siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.